Aliyetunga jina la Tanzania afariki dunia
Mtu aliyetunga jina la taifa la Tanzania, Mohamed Iqbal Dar, amefariki dunia akiwa usingizini jijini Birmingham, Uingereza alikokuwa akiishi. Iqbal alishiriki katika shindano la kutafuta jina la Tanzania lililoandaliwa mwaka…
