Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Biteko atua Barbados kunadi nishati safi

Biteko atua Barbados kunadi nishati safi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 12, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili nchini Barbados kushiriki Mkutano wa Kimataifa kuhusu matumizi ya Nishati endelevu utakaofanyika katika jiji la Bridgetown kuanzia tarehe…

Continue ReadingBiteko atua Barbados kunadi nishati safi
Read more about the article Kapinga azindua namba ya bure ya huduma kwa wateja wa TANESCO

Kapinga azindua namba ya bure ya huduma kwa wateja wa TANESCO

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 12, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga leo Machi 12, 2025 amezindua namba mpya ya huduma kwa wateja (mchongo 180) itakayotumiwa na wateja bure bila malipo ili kupata huduma mbalimbali kupitia…

Continue ReadingKapinga azindua namba ya bure ya huduma kwa wateja wa TANESCO
Read more about the article CCM yaweka ukomo wa miaka 10 kwa bunge, udiwani viti maalumu

CCM yaweka ukomo wa miaka 10 kwa bunge, udiwani viti maalumu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 11, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imeridhia mapendekezo ya marekebisho ya kanuni za uteuzi wa wagombea uongozi katika vyombo vya dola ikiwemo kuweka ukomo wa vipindi viwili vya miaka mitano…

Continue ReadingCCM yaweka ukomo wa miaka 10 kwa bunge, udiwani viti maalumu
Read more about the article RITA kuwanoa wajumbe  bodi, taasisi za wadhamini Dar 

RITA kuwanoa wajumbe  bodi, taasisi za wadhamini Dar 

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 11, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar ves Salaam Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umeandaa mafunzo maalum kwa wajumbe   wote wa Bodi za Wadhamini wa Taasisi zilizosajiliwa RITA zilizopo Dar es Salaam  yakayofanyika  kwenye…

Continue ReadingRITA kuwanoa wajumbe  bodi, taasisi za wadhamini Dar 
Read more about the article Kamati ya usalama, watendaji kata magu wapigwa msasa kuhusu uraia, utawala bora

Kamati ya usalama, watendaji kata magu wapigwa msasa kuhusu uraia, utawala bora

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 11, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Wizara ya Katiba na Sheria imetoa mafunzo ya utawala bora na uraia kwa kamati ya usalama ya wilaya ya Magu, wakuu wa idara mbalimbali za halmashauri na watendaji wa kata…

Continue ReadingKamati ya usalama, watendaji kata magu wapigwa msasa kuhusu uraia, utawala bora
Read more about the article NMB yaubeba mkutano wa 39 ALAT 

NMB yaubeba mkutano wa 39 ALAT 

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 11, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dodoma BENKI ya NMB imetoa jumla ya Sh170 milioni kama sehemu ya udhamini wa Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT).  Kiasi…

Continue ReadingNMB yaubeba mkutano wa 39 ALAT 
Read more about the article Watu 2 wathibitika kuwa na ugonjwa wa Mpox nchini

Watu 2 wathibitika kuwa na ugonjwa wa Mpox nchini

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 10, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Watu wawili wamethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox nchini Tanzania. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya, Jenista Mhagama kwenye taarifa kwa umma…

Continue ReadingWatu 2 wathibitika kuwa na ugonjwa wa Mpox nchini
Read more about the article Majaribio ya mabehewa 264 ya mizigo SGR yakamilika

Majaribio ya mabehewa 264 ya mizigo SGR yakamilika

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 10, 2025
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema kuwa majaribio ya mabehewa 264 ya mizigo, yaliyowasili nchini Desemba 2024, yamekamilika. Majaribio ya mabehewa hayo yaliyochukua mwezi…

Continue ReadingMajaribio ya mabehewa 264 ya mizigo SGR yakamilika
Read more about the article Mhandisi Mramba: Kuuza, kununua umeme ni jambo la kawaida kwa nchi

Mhandisi Mramba: Kuuza, kununua umeme ni jambo la kawaida kwa nchi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 10, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba ametoa ufafanuzi zaidi kuhusu hatua ya Serikali kununua umeme nchini Ethiopitia kupitia Kenya hadi Namanga…

Continue ReadingMhandisi Mramba: Kuuza, kununua umeme ni jambo la kawaida kwa nchi
Read more about the article NMB watia saini makubaliano na NM-AIST kukuza na kuendeleza teknolojia

NMB watia saini makubaliano na NM-AIST kukuza na kuendeleza teknolojia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 10, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Arusha Benki ya NMB imesaini Makubaliano ya Ushirikiano wa Kimkakati (MoU) na Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) yanayolenga kutambua na kuendeleza…

Continue ReadingNMB watia saini makubaliano na NM-AIST kukuza na kuendeleza teknolojia
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 87
  • 88
  • 89
  • 90
  • 91
  • 92
  • 93
  • …
  • 135
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website