DC Kibaha afungua Baraza Kuu la Wafanyakasi DAWASA
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Nickson Simon amefungua kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA). Akifungua kikao hicho katika…
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Nickson Simon amefungua kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA). Akifungua kikao hicho katika…
Baraza la Vyama vya Siasa nchini limekemea vikali upotoshaji wa wadau wenzao, kikiwemo Chama cha ACT WAZALENDO kilichochapisha vipeperushi vya kubagaza Baraza hilo kama njia ya kuharibu utendaji kazi wake…
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Wakili Sebastian Waryuba amewataka wananchi waliohama kwa hiyari kutoka katika Kijiji cha Ngombo ambacho awali kilikuwa ndani ya Pori la Akiba Kilombero…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Benki ya NMB, kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – TAMISEMI, imebuni na kuzindua mfumo wa kisasa wa kidijitali wenye lengo la kusaidia Mamlaka za Serikali…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri wa Sheria na Katiba Dkt.Damas Ndumbaro amewashangaa baadhi ya wadhamini wa taasisi, zikiwemo za kidini, ambao hawatimizi majukumu yao kikamilifu kwa kuendelea kutumia mali…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAFANYAKAZI wanawake wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) wametoa msaada wa vifaa tiba kwa hospitali ya Wilaya ya Kigamboni na hospitali ya…
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imekiri kuvutiwa na mchango mkubwa wa Benki ya NMB kwa makundi mbalimbali ya kijamii, ikiwemo kusaidia utatuzi wa changamoto za…
Viongozi mbalimbali wanaoshiriki mkutano wa kimataifa kuhusu matumizi ya nishati endelevu kwa watu wote unaofanyika nchini Barbados wameshauri kuimarishwa kwa ushirikiano wa kikanda na kimataifa ili kuwezesha upatikanaji wa nishati…
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha sekta ya mifugo inakuwa endelevu na yenye tija. Amesema Rais Samia Suluhu Hassan mara zote ameweka msisitizo…
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kushirikiana na halmashauri pamoja na mamlaka zote za tawala za mikoa na serikali za mitaa katika kuboresha ukusanyaji wa mapato…