Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Mchengerwa atoa miezi 2 barabara Ikwiriri zikamilike

Mchengerwa atoa miezi 2 barabara Ikwiriri zikamilike

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 25, 2025
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Na Mwandishi Wetu, Pwani Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amemtaka Meneja wa Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Pwani, Mhandisi Leopold Runji, kuhakikisha…

Continue ReadingMchengerwa atoa miezi 2 barabara Ikwiriri zikamilike
Read more about the article Mbunge Wanu Ameir akabidhi kisima cha maji Makunduchi

Mbunge Wanu Ameir akabidhi kisima cha maji Makunduchi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 24, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum, Wanu Hafidh Ameir jana tarehe 22 Machi, 2025 amekabidhi kisima cha maji katika Kijiji cha…

Continue ReadingMbunge Wanu Ameir akabidhi kisima cha maji Makunduchi
Read more about the article Balozi Ulanga aitabiria makubwa NFRA

Balozi Ulanga aitabiria makubwa NFRA

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 24, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Arusha Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Taifa wa Uhifadhi wa Chakula nchini (NFRA) Balozi John Ulanga ameitabiria mafanikio makubwa taasisi hiyo kutokana na jitihada…

Continue ReadingBalozi Ulanga aitabiria makubwa NFRA
Read more about the article Wataalam 53 Hazina wajifungua kuchambua bajeti mashirika ya umma

Wataalam 53 Hazina wajifungua kuchambua bajeti mashirika ya umma

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 24, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Timu ya wataalamu 53 kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) itajifungia kwa wiki mbili, kuanzia leo Jumatatu kufanya uchambuzi wa mipango na bajeti…

Continue ReadingWataalam 53 Hazina wajifungua kuchambua bajeti mashirika ya umma
Read more about the article INEC yaongeza siku uboreshaji Daftari la Wapiga Kura Dar

INEC yaongeza siku uboreshaji Daftari la Wapiga Kura Dar

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 23, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuongeza siku mbili zaidi za zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Dar…

Continue ReadingINEC yaongeza siku uboreshaji Daftari la Wapiga Kura Dar
Read more about the article Haya hapa majina walioitwa kwenye usaili TRA

Haya hapa majina walioitwa kwenye usaili TRA

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 22, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza majina ya waliochaguliwa kufanya usaili nafasi mbalimbali za kazi zilizotangwa kuanzia Februari 6 hadi 19 mwaka huu. Tangazo hilo lililotolewa na Idara ya Usimamnizi…

Continue ReadingHaya hapa majina walioitwa kwenye usaili TRA
Read more about the article Tanzania yamnadi Prof. Janabi ukurugenzi WHO – Afrika

Tanzania yamnadi Prof. Janabi ukurugenzi WHO – Afrika

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 22, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemtangaza Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Yakub Janabi kuwa Mgombea wa Nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani…

Continue ReadingTanzania yamnadi Prof. Janabi ukurugenzi WHO – Afrika
Read more about the article TANESCO yaanza kutekeleza mpango kabambe wa umeme bora Kigamboni

TANESCO yaanza kutekeleza mpango kabambe wa umeme bora Kigamboni

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 22, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeanza utekelezaji wa mpango kabambe wa kuimarisha njia za kusambazia umeme na kuongeza ubora wa nishati ya umeme katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa kiTANESCO…

Continue ReadingTANESCO yaanza kutekeleza mpango kabambe wa umeme bora Kigamboni
Read more about the article Serikali mbioni kufikisha gridi ya Taifa Rukwa, Kagera, Lindi na Mtwara

Serikali mbioni kufikisha gridi ya Taifa Rukwa, Kagera, Lindi na Mtwara

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 22, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu amesema wizara itaendelea kutekeleza miradi ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme ikiwa ni pamoja na kufikisha Gridi ya taifa katika…

Continue ReadingSerikali mbioni kufikisha gridi ya Taifa Rukwa, Kagera, Lindi na Mtwara
Read more about the article Rais wa kwanza mwanamke aapishwa Namibia

Rais wa kwanza mwanamke aapishwa Namibia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 21, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Netumbo Nandi-Ndaitwah ameapishwa kuwa rais wa nchi hiyo baada ya kupata ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Novemba mwaka jana ambao unarefusha utawala chama cha SWAPO kilichopigania uhuru wa taifa hilo.…

Continue ReadingRais wa kwanza mwanamke aapishwa Namibia
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 83
  • 84
  • 85
  • 86
  • 87
  • 88
  • 89
  • …
  • 135
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website