Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Vitongoji 9000 kusambaziwa umeme mwaka 2025/2026

Vitongoji 9000 kusambaziwa umeme mwaka 2025/2026

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 9, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekamilisha kazi ya kupeleka  umeme kwenye Vijiji vyote Tanzania Bara na  nguvu sasa inaelekezwa kwenye vitongoji. Mhe. Kapinga  ameeleza…

Continue ReadingVitongoji 9000 kusambaziwa umeme mwaka 2025/2026
Read more about the article Lissu alegeza masharti Chadema kushiriki uchaguzi mkuu

Lissu alegeza masharti Chadema kushiriki uchaguzi mkuu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 9, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mwandishi Wetu, Ruvuma Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amelegeza masharti kuhusu chama hicho, kushiriki uchaguzi akitaka mambo sita yafanyikie ili waingie katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Lissua ametaja…

Continue ReadingLissu alegeza masharti Chadema kushiriki uchaguzi mkuu
Read more about the article EACOP yakabidhi cheti cha haki ya kimila ya umiliki wa ardhi kwa  Wa-Akie 
Screenshot

EACOP yakabidhi cheti cha haki ya kimila ya umiliki wa ardhi kwa  Wa-Akie 

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 9, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Manyara Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), umekabidhi cheti cha haki ya kimila  ya umiliki ya ardhi ya kimila  ya umiliki wa ardhi ya msitu…

Continue ReadingEACOP yakabidhi cheti cha haki ya kimila ya umiliki wa ardhi kwa  Wa-Akie 
Read more about the article Wadau madini waendelea kunufaika na mnada wa madini Arusha

Wadau madini waendelea kunufaika na mnada wa madini Arusha

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 8, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mkurugenzi wa Ukaguzi na Biashara ya Madini kutoka Tume ya Madini, CPA. Venance Kasiki amesema, wafanyabiashara wa madini wamepata fursa ya kuleta na kuangalia madini mbalimbali katika Kituo cha Jemolojia…

Continue ReadingWadau madini waendelea kunufaika na mnada wa madini Arusha
Read more about the article Ulega awaweka kikaangoni walioshindwa kurejesha mawasiliano Somanga

Ulega awaweka kikaangoni walioshindwa kurejesha mawasiliano Somanga

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 8, 2025
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesisitiza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu wataalam kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) waliouhusika na uzembe wa kushindwa kurejesha kwa wakati mawasiliano ya barabara kuu ya…

Continue ReadingUlega awaweka kikaangoni walioshindwa kurejesha mawasiliano Somanga
Read more about the article Ole Ngurumwa aitaka Chadema iwasikilize G55

Ole Ngurumwa aitaka Chadema iwasikilize G55

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 7, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar ea Salaam Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Onesmo Ole Ngurumwa amekishauri Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuketi meza moja na…

Continue ReadingOle Ngurumwa aitaka Chadema iwasikilize G55
Read more about the article Magu yawapa motisha wanafunzi bora, shule zilizong’ara 2024

Magu yawapa motisha wanafunzi bora, shule zilizong’ara 2024

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 6, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

HALMASHAURI ya Wilaya ya Magu imegawa tuzo na zawadi mbalimbali zenye thamani ya Sh milioni 15 kwa shule za sekondari zilizofanya vizuri katika matokeo ya mitihani ya kidato cha pili,…

Continue ReadingMagu yawapa motisha wanafunzi bora, shule zilizong’ara 2024
Read more about the article NMB yadhamini mkutano mkuu maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania

NMB yadhamini mkutano mkuu maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 5, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Ruvuma Benki ya NMB imeshiriki kikamilifu kama mdhamini wa Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), unaofanyika mjini Songea, mkoani Ruvuma. Mkutano huo muhimu kwa…

Continue ReadingNMB yadhamini mkutano mkuu maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania
Read more about the article Watia nia ubunge 55 waitikisa Chadema, wapinga kuzuia uchaguzi

Watia nia ubunge 55 waitikisa Chadema, wapinga kuzuia uchaguzi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 4, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Watia nia wa Ubunge 55, kwenye uchaguzi wa 2025, kutoka chama cha Demokrasia na Maendeleo wametoa sababu tisa za kupinga mpango wa Chama hicho kuzuia uchaguzi, katika waraka waliwandikia Katibu…

Continue ReadingWatia nia ubunge 55 waitikisa Chadema, wapinga kuzuia uchaguzi
Read more about the article NMB yadhamini, yashiriki uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

NMB yadhamini, yashiriki uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 2, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Pwani Leo Aprili 02, 2025, Benki ya NMB imedhamini na kushiriki uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 kitaifa uliofanyika katika viwanja vya Shirika la Elimu…

Continue ReadingNMB yadhamini, yashiriki uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 80
  • 81
  • 82
  • 83
  • 84
  • 85
  • 86
  • …
  • 135
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website