Papa mpya anachaguliwa hivi…
Kiutamaduni Mapapa huchaguliwa na makasisi wakuu wanaoitwa Makadinali kupitia mchakato wa uchaguzi wa siri ulioanzia karne nyingi nyuma. Papa mpya huchaguliwa baada ya aliyemadarakani kufariki, au baada ya kujiuzulu kama…
