Rasmi CHADEMA imejiondoa kushiriki uchaguzi mkuu 2025
Ni rasmi Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu wa wabunge, madiwani na urais, utakaofanyika baadaye mwaka huu, baada ya chama hicho, kususia kusaini kanuni…
