Muuguzi Arusha asimamishwa kazi madai ya kumbadilishia mzazi mtoto
Wizara ya Afya imetangaza kumsimamisha kazi muuguzi aliyemhudumia mkazi wa Daraja mbili mkoani Arusha Bi. Neema Kilugala ambaye amedai kubadilishiwa mtoto. Bi. Kilugala alijifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali…
