Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Makamu wa Rais Dk. Mpango azindua matawi NMB

Makamu wa Rais Dk. Mpango azindua matawi NMB

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 28, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesema kufunguliwa kwa matawi ya benki karibu na wananchi kutasaidia kuondokana na wakopeshaji binafsi maarufu kama kausha damu ambao licha ya kutoza riba kubwa,…

Continue ReadingMakamu wa Rais Dk. Mpango azindua matawi NMB
Read more about the article Watumishi Ngorongoro wapanda miti 1,000, wananchi wapewa 10,000

Watumishi Ngorongoro wapanda miti 1,000, wananchi wapewa 10,000

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 28, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi wetu, ArushaWatumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) leo tarehe 28 machi, 2025 wameunga mkono kampeni ya upandaji miti iliyozinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa…

Continue ReadingWatumishi Ngorongoro wapanda miti 1,000, wananchi wapewa 10,000
Read more about the article CAG aridhishwa ufanisi wa fedha TPA kwa mwaka wa fedha 2023/24

CAG aridhishwa ufanisi wa fedha TPA kwa mwaka wa fedha 2023/24

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 28, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imepokea pongezi kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa utendaji wake bora katika…

Continue ReadingCAG aridhishwa ufanisi wa fedha TPA kwa mwaka wa fedha 2023/24
Read more about the article EACOP yapata ufadhili wakati ujenzi ukifikia zaidi ya 50%

EACOP yapata ufadhili wakati ujenzi ukifikia zaidi ya 50%

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 28, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) umefikia hatua muhimu kwa kufanikisha upatikanaji wa sehemu ya kwanza ya ufadhili wa nje,…

Continue ReadingEACOP yapata ufadhili wakati ujenzi ukifikia zaidi ya 50%
Read more about the article Mkuu wa shule, walinzi wawili mbaroni mauaji ya mwanafunzi

Mkuu wa shule, walinzi wawili mbaroni mauaji ya mwanafunzi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 26, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limewakamata watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kumuua mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari Kagwa iliyopo manispaa ya Sumbawanga aitwaye Novatus Adelhard…

Continue ReadingMkuu wa shule, walinzi wawili mbaroni mauaji ya mwanafunzi
Read more about the article Watatu wakamatwa wakisafirisha dhahabu ya Mil 750 kwa magendo

Watatu wakamatwa wakisafirisha dhahabu ya Mil 750 kwa magendo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 26, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu watatu waliokamatwa wakiwa na gramu 3263.72 za dhahabu yenye thamani ya shilingi milioni 749.5 Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatano na…

Continue ReadingWatatu wakamatwa wakisafirisha dhahabu ya Mil 750 kwa magendo
Read more about the article UNIDO yaipatia Tanzania bilioni 12 kubusti nishati safi

UNIDO yaipatia Tanzania bilioni 12 kubusti nishati safi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 25, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa - Vienna, Naimi Sweetie Hamza Aziz ameshiriki Hafla ya Makabidhiano ya fedha za msaada wa…

Continue ReadingUNIDO yaipatia Tanzania bilioni 12 kubusti nishati safi
Read more about the article Mkakati wa uongezaji thamani madini nchini washika kasi

Mkakati wa uongezaji thamani madini nchini washika kasi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 25, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Madini Mhandisi Yahya Samamba amesema kuwa, Serikali kupitia Wizara ya Madini imedhamiria kukuza sekta ya madini kwa kuhakikisha madini yanachakatwa na kuongezwa…

Continue ReadingMkakati wa uongezaji thamani madini nchini washika kasi
Read more about the article Biteko avutiwa  utekelezaji wa ‘Local Content’ EACOP

Biteko avutiwa  utekelezaji wa ‘Local Content’ EACOP

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 25, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Dotto Biteko ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa Serikali inafurahishwa na mradi…

Continue ReadingBiteko avutiwa  utekelezaji wa ‘Local Content’ EACOP
Read more about the article DAWASA yatoa mkono wa Eid kwa makundi ya wahitaji

DAWASA yatoa mkono wa Eid kwa makundi ya wahitaji

  • Post author:Gabriel
  • Post published:March 25, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika hatua ya kujali na kuthamini makundi maalumu katika jamii imetoa msaada wa mahitaji ya kibinadamu katika kituo cha…

Continue ReadingDAWASA yatoa mkono wa Eid kwa makundi ya wahitaji
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 82
  • 83
  • 84
  • 85
  • 86
  • 87
  • 88
  • …
  • 135
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website