Serikali bega kwa bega na Simba SC. Afrika Kusini mpaka fainali CAF
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema kuwa, Serikali imeendelea kuwapa ushirikiano klabu ya Simba ili kuhakikisha wanafanya vizuri kwenye mchezo wa nusu fainali ya pili…
