Kilio cha maji Mwamabanza kuisha Juni 2025
ZAIDI ya wakazi 7,678 wa kata ya Mwamabanza iliyopo wilaya ya Magu mkoani Mwanza wanatarajiwa kupata huduma ya maji safi na salama kuanzia Juni mwaka huu. Hayo yameelezwa jana tarehe…
ZAIDI ya wakazi 7,678 wa kata ya Mwamabanza iliyopo wilaya ya Magu mkoani Mwanza wanatarajiwa kupata huduma ya maji safi na salama kuanzia Juni mwaka huu. Hayo yameelezwa jana tarehe…
Na Mwandishi Wetu, Dar Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, anatarajiwa kuzindua kongamano maalum linaloandaliwa na Taasisi ya Umoja wa Watoa Huduma katika sekta ya madini nchini (TAMISA) pamoja na Kamati maalum…
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeanzisha majimbo mapya nane na kubadilisha majina ya majimbo 12 ya uchaguzi yatakayotumika kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Akizungumza na waandishi…
Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam, Wizara ya Afya na Ofisi ya Rais Tamisemi kwa kushirikiana na wadau wa kinywa na meno wamewataka Watanzania na taasisi mbalimbali kujitokeza kwa wingi…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Benki ya NMB imepata mafanikio ya kihistoria ya ushindi wa tuzo sita za kimataifa kutoka kwa majarida mawili mashuhuri duniani - jarida la Euromoney…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) chini ya kikundi kazi cha fedha kina mipango ya kuanzisha Kituo cha Kimataifa cha Huduma za Kifedha (International…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amezindua Kituo Mama cha Gesi Asilia iliyoshindiliwa (CNG) ambacho kina uwezo wa kujaza Gesi Asilia kwenye magari…
Kadinali Robert Prevost ametangazwa kuwa Papa mpya. Papa Robert Prevost atajulikana kama Papa Leo XIV. Kardinali Prevost ni mzaliwa wa Chicago nchini Marekani ambaye hadi anchaguliwa leo tarehe 8 Mei…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimesaini hati ya makubaliano inayolenga kuboresha na kuimarisha miundombinu ya usafirishaji, ikiwemo…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema hadi kufikia mwezi Machi 2025 takribani Shule za Serikali 216 zimehamia katika matumizi ya nishati safi ya kupikia ambapo kati…