Afisa mtendaji mkuu NMB kwenye mkutano mkuu CCM
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi Ruth Zaipuna ni mmoja wa wageni waalikwa waliohudhuria Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao unalenga kutathmini utekelezaji wa llani…
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi Ruth Zaipuna ni mmoja wa wageni waalikwa waliohudhuria Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao unalenga kutathmini utekelezaji wa llani…
Balozi wa Tanzania katika Ufalme wa Uswidi, Mobhare Matinyi, tarehe 29 Mei, 2025, alifanya kikao na Watanzania wanaoishi nchini humo katika viwanja vya ofisi za ubalozi jijini Stockhom. Katika kikao…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Metro life imezindua ya Kampeni ya Bima ya Vikundi Kidijitali iliyozinduliwa na Kamishna wa…
Kiwanda cha kuzalisha unga wa chokaa (ground calcium carbonate) cha Stalick, kilichopo katika Kata ya Msoga, Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani, kimeendelea kuwa chachu ya maendeleo kwa jamii inayozunguka eneo…
Na Mwandishi Wetu, Mwanza JUMLA ya migodi 13,279 pamoja na bohari za baruti 164 zimekaguliwa nchini kuanzia Julai 2024 hadi Machi 2025. Hayo yameelezwa leo Mei 28, 2025 jijini Mwanza…
Mahakama ya Ufaransa imetoa kifungo cha juu cha miaka 20 jela kwa daktari bingwa wa upasuaji ambaye alikiri kuwadhulumu kingono mamia ya wagonjwa, wengi wao wakiwa watoto, kwa zaidi ya…
Ngugi wa Thiong’o, gwiji wa fasihi kutoka Kenya na mpigania haki kwa njia ya kalamu, ameaga dunia akiwa na miaka 87. Kazi zake zilijikita katika kupinga ukoloni wa kiakili, na…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Benki ya NMB imenunua na kugawa vitanda, madawati, viti na meza vyenye thamani ya Shilingi milioni 125.2 katika shule 15 za Wilaya ya Arusha na Arumeru.…
Rais wa Kenya, William Ruto ameomba radhi mataifa jirani ya Tanzania na Uganda katika hatua ambayo inaonekana kuwa ni juhudi za kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo ya Afrika Mashariki.…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ameainisha vipaumbele vya wizara vikubwa vitano katika utekelezaji wa bajeti kwa mwaka wa…