Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Wakulima Magu wampa tano Kiswaga kwa kuchochea kilimo

Wakulima Magu wampa tano Kiswaga kwa kuchochea kilimo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 7, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

KATIKA kutekeleza kwa vitendo lengo la Rais Samia Suluhu Hassan la kuinua sekta ya umwagiliaji kwa asilimia 50 ifikapo 2030, Mbunge wa Magu, Boniventura Kiswaga ametoa msaada wa pampu kwa…

Continue ReadingWakulima Magu wampa tano Kiswaga kwa kuchochea kilimo
Read more about the article NMB yahamasisha wananchi Ngorongoro kushiriki michezo, ujasiriamali

NMB yahamasisha wananchi Ngorongoro kushiriki michezo, ujasiriamali

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 7, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Arusha Benki ya NMB kupitia kampeni yake ya NMB Kijiji Day imefanya shughuli mbalimbali za kijamii  katika tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro, mkoani Arusha, zikiwemo michezo, elimu ya…

Continue ReadingNMB yahamasisha wananchi Ngorongoro kushiriki michezo, ujasiriamali
Read more about the article Shule 53 Magu zagawiwa zana za kufundisha wanafunzi wa awali

Shule 53 Magu zagawiwa zana za kufundisha wanafunzi wa awali

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 5, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

ILI kuendana na mabadiliko ya mitaala ya elimu ya msingi na awali, Halmashauri ya wilaya ya Magu imegawa zana za ujifunzaji na ufundishaji kwa shule za msingi 53 za serikali…

Continue ReadingShule 53 Magu zagawiwa zana za kufundisha wanafunzi wa awali
Read more about the article NMB yatangaza gawio la bil. 214 kwa wanahisa wake kwa mwaka 2024

NMB yatangaza gawio la bil. 214 kwa wanahisa wake kwa mwaka 2024

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 5, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Benki ya NMB imetangaza gawio la kihistoria kwa wanahisa la Sh. bilioni 214.43 na kufikia jumla ya gawio la Mwaka la Sh. bilioni 214.43…

Continue ReadingNMB yatangaza gawio la bil. 214 kwa wanahisa wake kwa mwaka 2024
Read more about the article TFS MAGU yagawa miche 200,000 ya miti kuunga mkono jitihada za Samia uhifadhi wa mazingira

TFS MAGU yagawa miche 200,000 ya miti kuunga mkono jitihada za Samia uhifadhi wa mazingira

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 4, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

KATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan za kuhamasisha wananchi kutumia nishati safi na kuhifadhi mazingira, Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania katika wilaya ya Magu, umezalisha na…

Continue ReadingTFS MAGU yagawa miche 200,000 ya miti kuunga mkono jitihada za Samia uhifadhi wa mazingira
Read more about the article Watumishi wizara ya ujenzi, CRB, ERB wajifungia Morogoro kwa kikao kazi

Watumishi wizara ya ujenzi, CRB, ERB wajifungia Morogoro kwa kikao kazi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 3, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Baadhi ya watumishi kutoka Wizara ya Ujenzi na Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) pamoja na Bodi ya Usajili wa Wakadiriaji Majenzi na Wabunifu…

Continue ReadingWatumishi wizara ya ujenzi, CRB, ERB wajifungia Morogoro kwa kikao kazi
Read more about the article  Vitongoji 284 Arumeru Mashariki vyafikiwa na umeme

 Vitongoji 284 Arumeru Mashariki vyafikiwa na umeme

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 3, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imevifikishia huduma ya umeme Vitongoji 284 katika Jimbo la Arumeru Mashariki kati ya Vitongoji 330. Kapinga…

Continue Reading Vitongoji 284 Arumeru Mashariki vyafikiwa na umeme
Read more about the article Padri Kitima aadhimisha misa ya shukrani baada ya kutoka hospitali
Padri Dkt. Charles Kitima

Padri Kitima aadhimisha misa ya shukrani baada ya kutoka hospitali

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 3, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima ameongoza Adhimisho la Misa Takatifu ya shukrani kwa mara ya kwanza…

Continue ReadingPadri Kitima aadhimisha misa ya shukrani baada ya kutoka hospitali
Read more about the article DAWASA yaanza na ‘Pre-Paid Water Meter’ Kigamboni

DAWASA yaanza na ‘Pre-Paid Water Meter’ Kigamboni

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 2, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025, Ismail Ali Ussi ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa utekelezaji wa matumizi ya mita za Malipo ya…

Continue ReadingDAWASA yaanza na ‘Pre-Paid Water Meter’ Kigamboni
Read more about the article Serikali yalifuta kanisa la Askofu Gwajima

Serikali yalifuta kanisa la Askofu Gwajima

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 2, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Serikali imetangaza kulifuta Kanisa la Ufufuo na Uzima, linalomilikiwa na Askofu Josephat Gwajima, ikiwa ni siku moja tangu kiongozi huyo wa kiroho atangaze msimamo…

Continue ReadingSerikali yalifuta kanisa la Askofu Gwajima
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 68
  • 69
  • 70
  • 71
  • 72
  • 73
  • 74
  • …
  • 135
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website