TANESCO: Msiogope kupika kwa umeme ni gharama nafuu
Katika kuhakikisha elimu ya nishati safi ya kupikia inamfikia kila mtanzania, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Lazaro Twange ametumia sehemu ya ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya umeme…
Katika kuhakikisha elimu ya nishati safi ya kupikia inamfikia kila mtanzania, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Lazaro Twange ametumia sehemu ya ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya umeme…
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM OFISI ya Msajili wa Hazina, imeipongeza Benki ya NMB kwa kukabidhi gawio la Sh. Bilioni 68.1 kwa Mfuko Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Rais Samia Suluhu Hassan leo, Juni 10, 2025 amepokea kiasi cha Sh1.028 trilioni kama gawio na michango kutoka mashirika ya umma yaliyo chini ya…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga Sh bilioni 43 ili kuimarisha michezo katika shule mbalimbali nchini na kati ya hizo, sh. bilioni 32 ni kwa ajili ya kuimarisha Chuo…
Benki CRDB ambao ndio wadhamini wakuu wa Kombe la Shirikisho imesema ilishafanya malipo ya fedha mshindi wa msimu uliopita kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Kauli hiyo ya…
LEAH Ulaya aliyekuwa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ameshindwa uchaguzi Mkuu wa chama hicho uliofanyika jana tarehe 9 Juni 2025. Ulaya aliyewahi kukataa uteuzi wa Rais wa Tanzania…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) kupitia Kikundi Kazi cha Kilimo limekuja na maazimio ya kutatua changamoto mbalimbali zinazoikumba sekta hiyo nchini sambamba na…
ZAIDI ya Sh milioni 250 zilizotolewa na mfuko wa jimbo wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu kwa kipindi cha miaka mitano (2020-2025), zimetajwa kuchochea kasi ya maendeleo ya miradi mbalimbali…
Na Mwandishi Wetu, Shinyanga Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Lazaro Twange amesema mradi wa uzalishaji umeme unaotokana na jua wa Kishapu mkoani Shinyanga umefikia asilimia 63.3 kukamilika ambapo amesema awamu…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma ILI kukabiliana na uhaba wa walimu katika shule Serikali, jumla ya walimu 40,527 wameajiriwa katika maeneo mbalimbali nchini kuanzia mwaka 2021 hadi sasa. Hayo yameelezwa na…