Norland yaleta mapinduzi ya kiafya Tanzania
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katika harakati za kuboresha afya ya Watanzania kwa kutumia njia mbadala zisizo na madhara, kampuni ya Norland imeendelea kuleta mapinduzi kupitia virutubisho vyake vya…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katika harakati za kuboresha afya ya Watanzania kwa kutumia njia mbadala zisizo na madhara, kampuni ya Norland imeendelea kuleta mapinduzi kupitia virutubisho vyake vya…
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka waganga wa tiba asili kuacha kupiga ramli chonganishi ili kuifanya Tanzania ivuke salama kwenye uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 2025. Amewataka waganga hao kula…
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa heshima na hadhi ya kuwa Mtemi wa Sungusungu, jeshi la jadi,…
Wawakilishi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Rwanda wametia saini nakala ya awali ya mkataba wa amani baina ya nchi hizo mbili mjini Washington. Hayo yameelezwa kwenye taarifa ya…
Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani imeidhinisha sindano ya kampuni ya Gilead Sciences- Lenacapavir, kudungwa mara mbili kwa mwaka katika kuzuia Virusi Vya Ukimwi (VVU) vinavyosababisha ugonjwa wa UKIMWI…
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kupitia Mamlaka yake ya Uwekezaji (ZIPA), imeishukuru, kuipongeza kuitunukia Cheti Maalum Benki ya NMB kwa ‘kulibeba mabegani’ kwa udhamini mnono…
Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Magu kwa kupata Hati inayoridhisha ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa miaka mitatu…
Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo Kati ya China na Afrika (China-Africa Development Fund) umeahidi kuendelea kuipa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipaumbele katika kufadhili miradi ya uwekezaji na biashara. Ahadi…
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeendelea kupeleka maendeleo katika Wilaya ya Meatu ikiwemo ukamilishaji wa usambazaji umeme katika Vijiji vyote 109 vya Wilaya hiyo. Dkt. Samia ameyasema hayo…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene, ametembelea banda la Benki ya NMB katika ufunguzi rasmi wa…