Samia: Nitanunua matrekta 10,000 kuboresha kilimo
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema atakapochaguliwa kuingoza Tanzania kwa miaka mitano ijayo, Serikali yake itanunua matrekta 10,000 ili kuboresha shughuli za kilimo. Dkt…
