NMB, AG waimarisha ushirikiano katika utoaji wa huduma kwa wateja
Ujumbe kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (OAG) ukiongozwa na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Samwel MManeno, umetembelea makao makuu ya Benki ya NMB na kufanya kikao na uongozi…
