Mkutano wa 45 wa wakuu wa nchi wa SADC waanza Madagascar
Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza Agosti 04, 2025 jijini Antananarivo, Madagascar na Kikao cha Wataalamu cha Maafisa Waandamizi…
Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza Agosti 04, 2025 jijini Antananarivo, Madagascar na Kikao cha Wataalamu cha Maafisa Waandamizi…
Mtia nia nafasi ya ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Mashaka Biteko ashiriki kupiga kura za maoni kwa nafasi ya Ubunge na Udiwani katika kata ya Bulangwa ambapo Msimamizi…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Benki ya NMB imeanzisha huduma ya utoaji bima ya mazao na mifugo ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kusaidia kukuza sekta hizo nchini ambapo hadi…
NA Mwandishi Wetu, Mwanza Benki ya NMB imeendelea kuonesha dhamira ya dhati katika kuwa mshirika imara wa wafanyabiashara nchini, baada ya kukutana na wafanyabiashara wakubwa 120 wa Mkoa wa Mwanza…
Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) inashiriki Maonesho ya NaneNane Kitaifa yanaendelea katika Viwanja vya Maonesho vya Nzuguni Jijini Dodoma kutoa elimu kuhusu ununuzi wa Umma kwa wazabuni,…
Mbunge wa Jimbo la Bukombe anayemaliza muda wake, Dkt. Doto Mashaka Biteko ambaye ameomba tena ridhaa ya kutetea kiti hicho, ameeleza furaha na shukrani aliyonayo kwa Wananchi wa Bukombe kufuatia…
Mkuu wa Kitengo cha Biashara Serikalini kutoka Benki ya NMB, makao makuu, Vicky Bishubo, amesema wamepanga kutumia maonesho ya wakulima Nane nane kutoa elimu kwa wananchi kutambua fursa zinazotolewa na…
Wakati Serikali ilipoamua kuhamisha Stendi ya Mabasi ya Ubungo kwenda Mbezi Luis mwaka 2020, wengi waliutafsiri uamuzi huo kama kukata mshipa wa uhai wa kiuchumi wa eneo la Ubungo. Hofu…
Na Mwandishi Wetu, Pwani Bandari Kavu ya Kwala, iliyoko Wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani, sasa imekuwa mkombozi wa msongamano katika Bandari ya Dar es Salaam. Kulingana na taarifa rasmi, Bandari…
Rais Samia Suluhu Hassan ameziagiza Wizara za Uchukuzi na Viwanda na Biashara kuanza kutoa huduma zote za kibandari katika Bandari Kavu ya Kwala ili kurahisisha shughuli za usafirishaji kuanzia tarehe…