REA kivutio kikubwa uuzaji wa majiko banifu kwa bei ya ruzuku
Na Mwandishi Wetu, Geita Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea kuuza majiko banifu kwa bei ya ruzuku katika Maonesho ya Nane ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea katika viwanja…
