RC Senyamule aagiza ujenzi wa Shule Jumuishi Bahi ukamilike kwa wakati
Mwandishi Wetu, Dodoma MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ametaka jengo la Shule Jumuishi Bahi kukamilishwa kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa kama wadhamini wa ujenzi huo, Benki ya…
