PPRA yawapiga msasa walimu wakuu, watendaji kata magu matumizi mfumo wa NeST
ZAIDI ya watumishi 300 ambao ni walimu wakuu, walimu wa ununuzi, watendaji wa kata na wa vijiji katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu wamepewa mafunzo kuhusu usimamizi na ununuzi wa…
