Rais Samia: Mchakato Katiba Mpya kuanza ndani ya siku 100
Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan ameahidi kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya ndani ya siku 100 pindi Watanzania watakapompa ridhaa Oktoba…
