Samia: Mapambano ya rushwa nitayapa mkazo wa pekee
Na Mwandishi Wetu, Mwanza Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amehitimisha kampeni zake, huku akiahidi mapambano dhidi ya rushwa ni miongoni mwa mambo atakayoyapa…
