Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Samia apokea gawio la Sh1 trilioni kutoka kwa mashirika 213

Samia apokea gawio la Sh1 trilioni kutoka kwa mashirika 213

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 10, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Rais Samia Suluhu Hassan leo, Juni 10, 2025 amepokea kiasi cha Sh1.028 trilioni kama gawio na michango kutoka mashirika ya umma yaliyo chini ya…

Continue ReadingSamia apokea gawio la Sh1 trilioni kutoka kwa mashirika 213
Read more about the article Serikali yatenga bil. 43 kuimarisha michezo shuleni

Serikali yatenga bil. 43 kuimarisha michezo shuleni

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 10, 2025
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga Sh bilioni 43 ili kuimarisha michezo katika shule mbalimbali nchini na kati ya hizo, sh. bilioni 32 ni kwa ajili ya kuimarisha Chuo…

Continue ReadingSerikali yatenga bil. 43 kuimarisha michezo shuleni
Read more about the article CRDB yarudisha mpira TFF fedha za Yanga

CRDB yarudisha mpira TFF fedha za Yanga

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 10, 2025
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani

Benki CRDB ambao ndio wadhamini wakuu wa Kombe la Shirikisho imesema  ilishafanya malipo ya fedha mshindi wa msimu uliopita kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Kauli hiyo ya…

Continue ReadingCRDB yarudisha mpira TFF fedha za Yanga
Read more about the article Aliyegomea U-DC aangukia pua uchaguzi CWT
Leah Ulaya

Aliyegomea U-DC aangukia pua uchaguzi CWT

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 10, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

LEAH Ulaya aliyekuwa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ameshindwa uchaguzi Mkuu wa chama hicho uliofanyika jana tarehe 9 Juni 2025. Ulaya aliyewahi kukataa uteuzi wa Rais wa Tanzania…

Continue ReadingAliyegomea U-DC aangukia pua uchaguzi CWT
Read more about the article Kikundi kazi TNBC chaja na mikakati kuboresha sekta ya kilimo

Kikundi kazi TNBC chaja na mikakati kuboresha sekta ya kilimo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 10, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) kupitia Kikundi Kazi cha Kilimo limekuja na maazimio ya kutatua changamoto mbalimbali zinazoikumba sekta hiyo nchini sambamba na…

Continue ReadingKikundi kazi TNBC chaja na mikakati kuboresha sekta ya kilimo
Read more about the article Milioni 250 za mfuko wa jimbo zaacha alama Magu
Boniventura Kiswaga

Milioni 250 za mfuko wa jimbo zaacha alama Magu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 9, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

ZAIDI ya Sh milioni 250 zilizotolewa na mfuko wa jimbo wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu kwa kipindi cha miaka mitano (2020-2025), zimetajwa kuchochea kasi ya maendeleo ya miradi mbalimbali…

Continue ReadingMilioni 250 za mfuko wa jimbo zaacha alama Magu
Read more about the article Mradi wa umeme jua Kishapu wafikia 63.3%, kuzalisha megawati 50

Mradi wa umeme jua Kishapu wafikia 63.3%, kuzalisha megawati 50

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 9, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Shinyanga Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Lazaro Twange amesema mradi wa uzalishaji umeme unaotokana na jua wa Kishapu mkoani Shinyanga umefikia asilimia 63.3 kukamilika ambapo amesema awamu…

Continue ReadingMradi wa umeme jua Kishapu wafikia 63.3%, kuzalisha megawati 50
Read more about the article Walimu 40,527 waajiriwa kuanzia 2021-2025

Walimu 40,527 waajiriwa kuanzia 2021-2025

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 8, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dodoma ILI kukabiliana na uhaba wa walimu katika shule Serikali, jumla ya walimu 40,527 wameajiriwa katika maeneo mbalimbali nchini kuanzia mwaka 2021 hadi sasa. Hayo yameelezwa na…

Continue ReadingWalimu 40,527 waajiriwa kuanzia 2021-2025
Read more about the article Wakulima Magu wampa tano Kiswaga kwa kuchochea kilimo

Wakulima Magu wampa tano Kiswaga kwa kuchochea kilimo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 7, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

KATIKA kutekeleza kwa vitendo lengo la Rais Samia Suluhu Hassan la kuinua sekta ya umwagiliaji kwa asilimia 50 ifikapo 2030, Mbunge wa Magu, Boniventura Kiswaga ametoa msaada wa pampu kwa…

Continue ReadingWakulima Magu wampa tano Kiswaga kwa kuchochea kilimo
Read more about the article NMB yahamasisha wananchi Ngorongoro kushiriki michezo, ujasiriamali

NMB yahamasisha wananchi Ngorongoro kushiriki michezo, ujasiriamali

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 7, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Arusha Benki ya NMB kupitia kampeni yake ya NMB Kijiji Day imefanya shughuli mbalimbali za kijamii  katika tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro, mkoani Arusha, zikiwemo michezo, elimu ya…

Continue ReadingNMB yahamasisha wananchi Ngorongoro kushiriki michezo, ujasiriamali
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 48
  • 49
  • 50
  • 51
  • 52
  • 53
  • 54
  • …
  • 116
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu