Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Samia: Tunajadiliana kuboresha bei ya mbaazi

Samia: Tunajadiliana kuboresha bei ya mbaazi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 3, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake ipo katika majadiliano na Taifa la India na wazalishaji wengine wa mbaazi, kuhakikisha bei ya zao…

Continue ReadingSamia: Tunajadiliana kuboresha bei ya mbaazi
Read more about the article Maandamano Morocco yashika kasi siku 6 mfululuzo kushinikiza mageuzi sekta ya afya

Maandamano Morocco yashika kasi siku 6 mfululuzo kushinikiza mageuzi sekta ya afya

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 3, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Maandamano mapya ya kudai mageuzi katika sekta za afya na elimu yamefanyika nchini Morocco kwa siku ya sita mfululizo, kufuatia vifo vya watu watatu vilivyotokea wakati wa makabiliano yaliyotokea jana…

Continue ReadingMaandamano Morocco yashika kasi siku 6 mfululuzo kushinikiza mageuzi sekta ya afya
Read more about the article Samia: Nitajenga soko, barabara za kutosha Arusha

Samia: Nitajenga soko, barabara za kutosha Arusha

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 2, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake inatarajia kujenga soko kubwa la machinga na kukamilisha soko la kisasa la wafanyabiashara katika eneo la…

Continue ReadingSamia: Nitajenga soko, barabara za kutosha Arusha
Read more about the article Samia: Nitajenga kituo kikubwa cha SGR Arusha

Samia: Nitajenga kituo kikubwa cha SGR Arusha

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 2, 2025
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Mkoa wa Arusha ni miongoni mwa maeneo yatakayonufaika na Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR), utakaotekelezwa katika kipindi cha miaka mitano ijayo chini ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan.…

Continue ReadingSamia: Nitajenga kituo kikubwa cha SGR Arusha
Read more about the article Rais Samia atumbua vigogo DART, UDART

Rais Samia atumbua vigogo DART, UDART

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 2, 2025
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

SIKU moja baada ya vituo na mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Saalam (Mwendokasi) kushambuliwa kwa mawe na wananchi, Rais Samia Suluhu Hassan  ametengua uteuzi wa viongozi wanaosimamia mradi huo. Viongozi…

Continue ReadingRais Samia atumbua vigogo DART, UDART
Read more about the article Askofu Ruwa’ichi: Kanisa Katoliki halina ugomvi na serikali

Askofu Ruwa’ichi: Kanisa Katoliki halina ugomvi na serikali

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 1, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Yuda Thadeus Ruwa’ichi, amesema Kanisa Katoliki halina ugomvi wowote na serikali na halina mpango wa kupigana nayo mieleka.  Askofu Ruwa’ichi…

Continue ReadingAskofu Ruwa’ichi: Kanisa Katoliki halina ugomvi na serikali
Read more about the article Samia alivyojipanga kujenga, kuboresha barabara Kilimanjaro

Samia alivyojipanga kujenga, kuboresha barabara Kilimanjaro

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 1, 2025
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Baada ya hatua kubwa zilizopigwa katika sekta za afya, umeme, afya na elimu mkoani Kilimanjaro, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan ameahidi kuhamishia nguvu katika…

Continue ReadingSamia alivyojipanga kujenga, kuboresha barabara Kilimanjaro
Read more about the article Kabila ahukumiwa kifo kwa kosa la usaliti

Kabila ahukumiwa kifo kwa kosa la usaliti

  • Post author:Gabriel
  • Post published:October 1, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mahakama ya kijeshi nchini Kongo- DRC imemhukumu kifo aliyekuwa rais Joseph Kabila baada ya kumtia hatiani kwa usaliti na uhalifu dhidi ya binadamu. Chama chake PPRD kimesema kesi hiyo ni…

Continue ReadingKabila ahukumiwa kifo kwa kosa la usaliti
Read more about the article NMB yazindua Tawi maalum la  NMB Tinde Mnadani

NMB yazindua Tawi maalum la  NMB Tinde Mnadani

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 30, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi wetu, Shinyanga BENKI ya NMB imezindua tawi maalum la NMB Tinde Mnadani mkoani Shinyanga ikiwa ni sehemu ya  kuzingatia dhamira yake ya muda mrefu ya kusambaza huduma za kifedha…

Continue ReadingNMB yazindua Tawi maalum la  NMB Tinde Mnadani
Read more about the article Kisa umeme kukatika, Rais avunja Serikali

Kisa umeme kukatika, Rais avunja Serikali

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 30, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Madagascar Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina ametangaza kulivunja baraza lake la mawaziri kufuatia maandamano mabaya zaidi kuripotiwa kwenye kisiwa hicho. Hatua hiyo imekuja baada ya raia kupinga…

Continue ReadingKisa umeme kukatika, Rais avunja Serikali
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 45
  • 46
  • 47
  • 48
  • 49
  • 50
  • 51
  • …
  • 135
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website