Mabadiliko kurejea kwa Taifa Stars, sasa ni tarehe 8
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Timu ya Taifa ya Kandanda ya Tanzania (Taifa Stars), ambayo ilikuwa irejee nchini kesho tarehe 07 Januari, 2025, sasa itarejea tarehe tarehe 08 Januari,…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Timu ya Taifa ya Kandanda ya Tanzania (Taifa Stars), ambayo ilikuwa irejee nchini kesho tarehe 07 Januari, 2025, sasa itarejea tarehe tarehe 08 Januari,…
Delcy Rodríguez ameapishwa kuwa rais wa mpito wa Venezuela katika kikao cha bunge kilichoanza kwa wito wa kuachiliwa kwa rais aliyeondolewa na kuzuiliwa nchini Marekani Nicolás Maduro. Rodríguez, 56 ambaye…
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera, amezindua kliniki ya huduma za msaada wa kisheria (Legal Aid Clinic) mkoani Morogoro, itakayotoa huduma za ushauri na…
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR WAKATI Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ikiitunukia Cheti cha Shukrani na Pongezi kwa kufadhili, kudhamini na kushiriki Siku ya Kitaifa ya Mazoezi, Benki ya NMB imetambia…
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kusherehekea Sikukuu za kumaliza mwaka na kuanza mwaka mpya kwa amani na salama. Pia, amewataka Watanzania wautumie mwaka 2026 kufanya kazi kwa bidii,…
Rais Samia Suluhu Hassan amesema mwaka 2026, ndipo Tanzania inaanza utekelezaji wa Dira yake ya Taifa ya Maendeleo mwaka 2050. Katika kipindi hicho, amesema Serikali itaendelea kutekeleza mkakati wa muda…
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wananchi baada ya kukabiliwa na uhaba wa maji, akisema umesababishwa na upungufu wa mvua katika kipindi cha miezi saba ya mwaka 2025 uliochochea…
Wakati Watanzania wakiuanza mwaka mpya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa nchini. Dkt Samia ameeleza hayo…
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeipongeza Benki ya NMB kwa kusaini mkataba mnono wa udhamini wa Mashindano ya Mapinduzi Cup , unaobadili rasmi jina la…