Norland yashauri Watanzania kupima afya zao mara kwa mara
Na Mwandishi Wetu, Arusha Kutokana na kuongezeka kwa magonjwa yasiyoambukiza nchini ambayo yanaendelea kuathiri nguvu kazi ya Taifa kwa kushambulia watu wa rika mbalimbali, Watanzania wameshauriwa kujenga utamaduni wa kupima…
