Dkt. Samia asheherekea ‘birthday’ kwa kupanda miti, aacha urithi
Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema amechagua kupanda miti katika siku yake ya kuzaliwa ili kutimiza wajibu wake wa kuitunza na kuhifadhi sayari ya dunia. Sambamba na hilo,…
