Dkt. Samia aeleza mikakati kuboresha usafiri Tanzania na Uganda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ameeleza namna walivyokubaliana na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kuhusu kuimarisha shughuli za usafiri na usafirishaji baina ya mataifa…
