Vijana 100 wahitimu mafunzo maalumu ya sekta ya fedha kwa ufadhili wa NMB
Benki ya NMB imeendeleza jitihada zake za kujenga nguvu kazi yenye ujuzi na maarifa ya kisasa katika sekta ya fedha nchini kwa kusaidia mafunzo ya kitaaluma na kitalaamu kwa vijana…
