Museveni aongoza kwa asilimia 61.7 ya kura
Matokeo ya awali yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi ya Uganda yanampa ushindi Rais Yoweri Museveni kwa asilimia 61.7 ya kura halali ambazo zimekwisha hesabiwa hadi sasa. Mwenyekiti wa Tume ya…
Matokeo ya awali yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi ya Uganda yanampa ushindi Rais Yoweri Museveni kwa asilimia 61.7 ya kura halali ambazo zimekwisha hesabiwa hadi sasa. Mwenyekiti wa Tume ya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema uchaguzi wa mwaka 2025 ulikuwa na mafanikio makubwa ikiwamo kufikia asilimia 44 ya wabunge wanawake huku mchakato huo…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Kutokana na kuongezeka kwa magonjwa yasiyoambukiza nchini ambayo yanaendelea kuathiri nguvu kazi ya Taifa kwa kushambulia watu wa rika mbalimbali, Watanzania wameshauriwa kujenga utamaduni wa kupima…
BARAZA la Wafanyakazi Magu limewachagua Lilian Michael kuwa katibu wa baraza pamoja na Allypius Pauliny kuwa katibu msaidizi. Uchaguzi huo uliosimamiwa na Afisa Kazi wa mkoa wa Mwanza, Peace Felix…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameahidi Serikali kuendelea kulinda na kuheshimu uhuru wa mahakama ili kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi. Dkt Samia ameeleza hayo…
Mahakama ya Rufani nchini, imetupilia mbali rufani iliyowasilishwa na Benki za Standard Chartered Hong Kong (SCBH) na Standard Chartered Bank Malaysia Berhad, kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu. Pingamizi hilo lilihusu…
Na Mwandishi wetu, Singida Wananchi mkoani Singida wameipongeza Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa uboreshaji wa huduma mbalimbali , ikiwemo ya upatikanaji wa vyeti vya kuzaliwa ndani ya saa 48 za…
Alhamisi hii rais wa Uganda Yoweri Museveni atakuwa katika jaribio jingine la kutaka raia wa nchi hiyo wamuongezee muda zaidi wa utawala wake uliodumu kwa karibu miongo minne, uchaguzi ambao…
Na Mwandishi Wetu, Singida Serikali ipo mbioni kuandaa Sera ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheriaitakayoweka misingi ya kuboresha na kuimarisha upatikanaji wa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi kote nchini.…
Majukumu ya kuiongoza nchi, hayakumzuia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutenga muda wa kuangalia mechi za timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars.’ Hata hivyo, kuangalia ni jambo moja, lakini…