Dkt. Mwigulu: Rais Samia ametimiza ahadi ajira 12,000 za walimu, madaktari
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza ahadi ya ajira za walimu 7,000 aliyoahidi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.…
