ATCL yapata hasara ya Sh bilioni 748 tangu ianzishwe
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amesema kuwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limeendelea kupata hasara katika ukaguzi wa mwaka wa fedha wa 2024/25.…
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amesema kuwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limeendelea kupata hasara katika ukaguzi wa mwaka wa fedha wa 2024/25.…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MAELFU ya wakazi wa Mbagala na vitongoji vyake katika Manispaa ya Temeke, Jijini Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi kupima macho, kupata ushauri nasaha…
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza viongozi wa kitaifa, familia, na wananchi kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge na Wenye Ulemavu), William…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Mativila, amesema Serikali kupitia TARURA…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imepokea madai 248 kutoka kwa wadau na taasisi mbalimbali kwa iliyokuwa kampuni ya kukopesha fedha ya Pride…
BENKI ya NMB na Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (DarTU – zamani TUDARCo), wamesaini Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) wa Kimkakati, wenye lengo la kujenga mfumo rasmi wa uandaaji…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Serikali kupitia Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) imesema ipo mbioni kuanzisha Kituo cha Kimataifa cha Kuduma za kifedha ( IFC) hapa nchini ili…
Serikali imewahakikishia wananchi uwepo wa akiba ya mafuta ya kutosha nchini, huku ikijidhatiti kufanya kila linalowezekana kuhakikisha nishati hiyo inapatikana kwa wananchi. Hayo yameelezwa leo, Jumatatu Machi 23, 2026 na…
Benki ya NMB imetwaa tuzo tatu katika Tuzo za Euromoney Private Banking 2026 jijini London, ikishinda Benki Bora ya Huduma za Wateja Maalum Tanzania, Benki Salama Zaidi ya Huduma za…