Wakazi Dar waipongeza NMB ikizindua huduma za matawi yanayotembea
NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imepuliza rasmi kipyenga cha matumizi ya Magari Maalum Yanayotoa Huduma za Kibenki (Matawi Yanayotembea – Bank on Wheels), huku wakazi wa Dar es Salaam…
NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imepuliza rasmi kipyenga cha matumizi ya Magari Maalum Yanayotoa Huduma za Kibenki (Matawi Yanayotembea – Bank on Wheels), huku wakazi wa Dar es Salaam…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, ametaka vijana wanufaike ipasavyo na huduma za mkongo wa Taifa wa mawasiliano, hasa katika maeneo ya kukuza ubunifu, ujuzi wa kidigitali na fursa za ajira.…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, ameanza rasmi utekelezaji wa vitendo wa mpango wa kupunguza magari katika msafara wake kwa kuhakikisha maofisa wanaofuatana naye wanapanda mabasi, badala ya kutumia magari yao,…
Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Vurugu kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imesema muda wa siku 21 iliyoongezewa unalenga kutumika kukamilisha kazi na sio kuchakachua…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, ametangaza mpango wa kupunguza ukubwa wa msafara wake, ikiwa ni hatua za mwanzo za kukabili matumizi ya mafuta, kutokana na kupanda kwa bei ya nishati…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi trilioni 3.58 kwa mwezi Machi pekee sawa na ufanisi wa asilimia 107.6 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni 3.32 makusanyo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na wagombea wa nafasi ya urais na wagombea wenza kutoka vyama vya siasa 16 vilivyoshiriki Uchaguzi…