Dkt. Samia: Amani ni hazina yetu kiuchumi, kijamii
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amani iliyopo nchini ni hazina ya shughuli za kiuchumi na kijamii. Dkt Samia amesisitiza kuwa bila amani,…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amani iliyopo nchini ni hazina ya shughuli za kiuchumi na kijamii. Dkt Samia amesisitiza kuwa bila amani,…
Na Mwandishi Wetu, Mtwara Kampuni ya Equinor kutoka Norway, ambayo ni miongoni mwa kampuni zinazotarajiwa kuwekeza katika mradi wa gesi asilia (LNG), imefanya ziara katika Bandari ya Mtwara kujionea maboresho…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Benki ya NMB imeahidi kutoa Sh milioni 500 ndani ya kipindi cha miaka miwili kwa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), kusaidia upanuzi wa huduma…
Na Mwandishi Wetu, Tanga Serikali imeipongeza Kampuni ya Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kuendelea kuchangia maendeleo ya jamii baada ya kutoa shilingi milioni 33.6 kusaidia kuboresha…
Na Mwandishi Wetu, Manyara Uwanja mpya wa Kimataifa wa gofu unaojengwa pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti unatarajiwa kuwa miongoni mwa viwanja maarufu duniani kutokana na sifa zake za…
Benki ya Dunia, Kupitia Bodi yake ya Wakurugenzi, imeiidhinishia Tanzania dola za Marekani milioni 550 sawa na zaidi ya shilingi trilioni 1.4 kwa ajili ya kutekeleza miradi miwili ya kimkakati…
Na Mwandishi Wetu, Mwanza WALIMU na wanafunzi katika halmashauri ya wilaya ya Magu wamepongezwa kwa jitihada za kuongeza ufaulu wa mitihani kidato cha sita, nne na pili katika mwaka 2025.…
Na Mwandishi Wetu, Ruvuma Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Zuberi Homera, amewataka wajumbe wa bodi za wadhamini nchini kuzingatia kikamilifu sheria, uwajibikaji na uadilifu katika usimamizi wa mali…
Tunaposema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Sikivu tunamaanisha.Hii limedhiirika baada ya Serikali kupokea na kuahidi kuyafanyia kazi maombi ya wasafirishaji. Wasafirishaji hao wakiwemo…
Juhudi, maarifa na uongozi bora wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, umeendelea kumpa heshima mbele ya dunia, baada ya Chuo Kikuu cha Nasarawa nchini Nigeria kumtunuku shahada ya heshima. Shahada…