Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Rais Samia amkaribisha Drogba kuwa Balozi wa Afcon 2027

Rais Samia amkaribisha Drogba kuwa Balozi wa Afcon 2027

  • Post author:Gabriel
  • Post published:May 5, 2026
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani

Rais Samia Suluhu Hassan amemkaribisha mshambuliaji wa zamani wa Ivory Coast, Didier Drogba, kuwa balozi maalum wa Tanzania kuelekea fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027. Rais…

Continue ReadingRais Samia amkaribisha Drogba kuwa Balozi wa Afcon 2027
Read more about the article Ruto: Ujenzi kiwanda kusafisha mafuta Tanga fursa EAC

Ruto: Ujenzi kiwanda kusafisha mafuta Tanga fursa EAC

  • Post author:Gabriel
  • Post published:May 5, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais wa Kenya, William Ruto, ameeleza sababu za kupendekezwa kwa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) mkoani Tanga badala ya Kenya, akisisitiza kuwa mradi huo ni wa kikanda, si…

Continue ReadingRuto: Ujenzi kiwanda kusafisha mafuta Tanga fursa EAC
Read more about the article Ruto ampongeza Rais Samia kwa uongozi imara

Ruto ampongeza Rais Samia kwa uongozi imara

  • Post author:Gabriel
  • Post published:May 5, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto, amempongeza Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi bora na kusimama imara wakati wa vurugu za Oktoba 29,2025. Aidha, amempongeza kwa mchango…

Continue ReadingRuto ampongeza Rais Samia kwa uongozi imara
Read more about the article Ruto: Kampuni za Kenya 500 zimewekeza bilioni 1.7 Tanzania

Ruto: Kampuni za Kenya 500 zimewekeza bilioni 1.7 Tanzania

  • Post author:Gabriel
  • Post published:May 5, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto, amesema Kampuni 500 za Kenya zimewekeza Dola za Marekani bilioni 1.7 nchini Tanzania. Amesema uwekezaji huo umeongeza ajira za mamilioni ya watu na kukuza…

Continue ReadingRuto: Kampuni za Kenya 500 zimewekeza bilioni 1.7 Tanzania
Read more about the article Ruto: Maadui wa Tanzania na Kenya ni umasikini na ukosefu wa ajira

Ruto: Maadui wa Tanzania na Kenya ni umasikini na ukosefu wa ajira

  • Post author:Gabriel
  • Post published:May 5, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais wa Kenya, William Ruto, amehimiza kuwapo kwa mshikamano mkubwa wa kikanda kati ya Tanzania na Kenya, huku akiwataja maaduia wakubwa wa nchi hizo ni umasikini na ukosefu wa ajira.…

Continue ReadingRuto: Maadui wa Tanzania na Kenya ni umasikini na ukosefu wa ajira
Read more about the article Tanzania, Kenya zasaini mikataba nane

Tanzania, Kenya zasaini mikataba nane

  • Post author:Gabriel
  • Post published:May 4, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Serikali ya Tanzania na Kenya zimesaini mikataba nane ya ushirikiano, ikiwa ni ishara ya kuendelea kuimarika kwa uhusiano wa mataifa hayo. Mikataba hiyo imetiwa saini leo, Jumatatu Mei 4, 2026…

Continue ReadingTanzania, Kenya zasaini mikataba nane
Read more about the article Rais Ruto: Dkt Samia ameonyesha uongozi, tunamuunga mkono

Rais Ruto: Dkt Samia ameonyesha uongozi, tunamuunga mkono

  • Post author:Gabriel
  • Post published:May 4, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Rais wa Kenya, Dk William Ruto, amempongeza Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, kwa kuonyesha uongozi kipindi cha kuzivuka changamoto zilizotokea Oktoba 29,…

Continue ReadingRais Ruto: Dkt Samia ameonyesha uongozi, tunamuunga mkono
Read more about the article Dkt Samia: Tutashirikiana na Kenya kuwawezesha ubunifu kwa vijana

Dkt Samia: Tutashirikiana na Kenya kuwawezesha ubunifu kwa vijana

  • Post author:Gabriel
  • Post published:May 4, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali inalenga kushirikiana na Kenya kuwawezesha vijana katika masuala ya ubunifu na teknolojia. Amesema hatua hiyo, inalenga kuyafanya…

Continue ReadingDkt Samia: Tutashirikiana na Kenya kuwawezesha ubunifu kwa vijana
Read more about the article Austin Pillado – Kocha bingwa wa uogeleaji atua Dar, kuweka kambi ya siku 10

Austin Pillado – Kocha bingwa wa uogeleaji atua Dar, kuweka kambi ya siku 10

  • Post author:Gabriel
  • Post published:May 4, 2026
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani

Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam HATIMAYE Kocha maarufu kutoka Marekani, Austin Pillado ambaye pia ni Naibu Kocha Mkuu wa timu ya kuogelea kutoka Chuo Washington State, ametua nchini jana…

Continue ReadingAustin Pillado – Kocha bingwa wa uogeleaji atua Dar, kuweka kambi ya siku 10
Read more about the article Dkt. Samia: Biashara yetu na Rwanda imekua

Dkt. Samia: Biashara yetu na Rwanda imekua

  • Post author:Gabriel
  • Post published:May 3, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema biashara ya Tanzania na Rwanda imekua na kufikia Sh644 bilioni mwaka jana, huku uwekezaji nao ukiimarika kati ya pande hizo. Mkuu huyo wa nchi…

Continue ReadingDkt. Samia: Biashara yetu na Rwanda imekua
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • …
  • 144
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website