Serikali yapongeza utekelezaji wa mradi wa EACOP
Na Mwandishi Wetu, Tanga Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Nishati, imeeleza kuridhishwa na hatua kubwa ya maendeleo zilizofikiwa katika ujenzi wa miundombinu ya mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi…
Na Mwandishi Wetu, Tanga Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Nishati, imeeleza kuridhishwa na hatua kubwa ya maendeleo zilizofikiwa katika ujenzi wa miundombinu ya mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, ametaka kuwepo mfumo wa ufuatiliaji wa wafungwa wanaomaliza vifungo vyao, ili kujua walipo na wanachofanya. Amesema mfumo huo, utasaidia pia kuwaunganisha na taasisi za uwezeshaji…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, ametaka utu, heshima na haki za wafungwa hususan wanawake ziheshimiwe, kwa kuwa wana mahitaji ya ziada na maumbile tofauti na wanaume. Dkt Samia ametoa kauli…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, ametaka Serikali yake ianze kufikiria mpango wa kuanzishwa mfuko maalumu katika Jeshi la Magereza, utakaochangiwa fedha ambazo wafungwa watakaotoka…
Na Mwandishi Wetu RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka vijana Watanzania kuilinda amani ya Taifa kwa kulindana wenyewe na kuonesha dunia kuwa yaliyokea Oktoba 29, 2025 hayatatokea tena. Amesema yaliyotokea Oktoba…
Na Mwandishi Wetu Balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, William Trachman, amesema pamoja na changamoto zilizojitokeza baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, bado Tanzania inaendelea kuwa mshirika muhimu wa Marekani…
HALMASHAURI ya Wilaya ya Magu kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, ikiwamo Jeshi la polisi, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji pamoja na Chuo cha udereva Tabora, wametoa mafunzo ya usalama kwa…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mwandishi wa vitabu na mshairi Aisha Kingu ambaye pia ni wakili msomi, anatarajia kuzindua kitabu chake cha sita kiitwacho ‘Sing Gratitude’, kinacholenga kuhamasisha jamii…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amewaambia watendaji wa Serikali kuwa vyeo ni dhamana, akisema ni dhambi kubwa mtu kupata cheo kisha kuvimba mabega. Ametoa rai hiyo…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake imeshapeleka vijana zaidi ya 7,000 kufanya kazi nje ya nchi, akisisitiza haki na stahiki zao zikasimamiwe vema. Mkuu…