Dkt Samia: Tunaiunganisha sekta ya uvuvi na viwanda, masoko
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema uzinduzi wa boti mpya ya uvuvi wa bahari kuu, ni mpango na mfumo unaounganisha uvuvi, uzalishaji viwandani na masoko. Mkuu huyo wa nchi, ametoa…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema uzinduzi wa boti mpya ya uvuvi wa bahari kuu, ni mpango na mfumo unaounganisha uvuvi, uzalishaji viwandani na masoko. Mkuu huyo wa nchi, ametoa…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema amedhamiri kulifufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), ili liwe na uwezo wa kusimamia uvunaji wa rasilimali za bahari kuu. Mkuu huyo wa nchi, ametoa…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Baraza kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) limekutana kujadili na kuweka mwelekeo wa vipaumbele vya…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema ndani ya siku au wiki chache zijazo, Serikali yake itaundwa Tume ya Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa, ikijumuisha wadau wote muhimu. Dkt Samia ametoa…
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ni rahisi kuivunja amani, lakini si rahisi kuirejesha hivyo hatima ya Tanzania ipo mikononi mwa Watanzania wenyewe. Dkt Samia ameeleza hayo leo Aprili 23,2026 wakati…
Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu Amani wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29,2025, imesema kilichotokea Oktoba 29 hakikuwa maandamano ya amani bali ghasia zilizoambatana na matukio…
Tume ya uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, imesema walioshiriki vurugu za Oktoba 29, 2025 walikuwa na silaha mbalimbali ikiwemo bunduki na vilipuzi. Hayo yameelezwa Ikulu jijini Dar…
Tume ya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi, imesema jumla ya watu 518 walipoteza maisha kutokana na ghasia za siku ya uchaguzi wa Oktoba…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu Amani Oktoba, 2025 imesema baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi kuwashawisha na kuwachochoea kushiriki…
Na Mwandishi Wetu, Pwani ZAIDI ya wakazi 100 wa Kitongoji cha Kibosha Mji Mpya kilichopo kata ya Mapinga wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wamejitokeza kuomba kuunganishiwa huduma ya majisafi na…