Wafanyabiashara wakoshwa mapendekezo tume ya Rais ya kodi
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT), Hamis Livembe, amesema wamefurahishwa na ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mifumo ya Kodi nchini, kwa namna ilivyoakisi maoni na…
