Maandalizi ujenzi kiwanja kipya cha ndege Serengeti yaiva
Maandalizi ya awali ya ujenzi wa Kiwanja Kipya cha Ndege cha Kimataifa cha Serengeti yameanza rasmi, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa usafiri wa anga nchini na kurahisisha upatikanaji wa utalii…
