Baraza la madiwani Magu lapitisha mapendekezo ya rasimu ya mpango na bajeti sh. bilioni 73.25
Baraza la madiwani halmashauri ya Wilaya ya Magu limepitisha mapendekezo ya rasimu ya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ambapo halmashauri iliomba kuidhinishiwa jumla ya shilingi Bilioni 73.25…
