Butiku ataka Watanzania kujitathmini kwa utulivu baada ya vurugu za Oktoba 29
Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imewataka Watanzania kuendelea kushikamana na misingi ya Taifa, hususan katika kipindi hiki ambacho nchi inatafakari matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 kupitia Tume iliyoundwa…
Dkt. Samia kusheherekea ‘birthday’ kwa kupanda miti Zanzibar
Katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake, Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ataongoza upandaji wa miti utakaofanyika Januari 27, 2026 maeneo ya Bungi Kilimo Kizimkazi, Zanzibar. Kwa mujibu wa…
Waziri mkuu kuzindua meli mpya MV. New Mwanza
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (MB) anatarajiwa kuzindua Meli ya kisasa ya MV New Mwanza katika Bandari ya Mwanza Kusini kesho ijumaa tarehe…
Wakazi 32,000 kufaidika maboresho huduma za afya Magu
ZAIDI ya wakazi 32,000 wa kata za Lutale na Nyanguge wilayani Magu wanatarajiwa kufaidika na mradi wa ujenzi wa wodi ya wazazi pamoja na jengo la upasuaji, miradi inayotajwa kusaidia…
Huwezi kuishiwa ‘pawa’ ukipanda mlima Lolmalasin
Wakati anamsifia mpenzi wake Msanii Mbosso aliimba “ Kamusi namaliza kurasa kukusifia”, na akahitimisha kwa kusema anaishiwa pawa kwa kuwa penzi la huyo ampendaye ni mizani nzito. Mbosso angepata fursa…
NMB yatunukiwa cheti cha mwajiri bora Tanzania kwa mara nyingine tena
Benki ya NMB imeendelea kuthibitisha nafasi yake kama taasisi kinara katika usimamizi wa rasilimali watu baada ya kutambuliwa tena kama Mwajiri Bora Tanzania na Top Employers Institute. Mafanikio haya yanaifanya…
DC Lawuo awapa pole familia iliyopoteza 3 kwa ajali ya moto Magu
MKUU wa Wilaya ya Magu, Jubilate Lawuo ameitembelea familia ya Mzee Shadrack Ntagala (66) iliyopata ajali ya moto na kuipa pole huku akiwasisitiza wananchi kuchukua tahadhari ya matumizi ya vifaa…
Museveni aongoza kwa asilimia 61.7 ya kura
Matokeo ya awali yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi ya Uganda yanampa ushindi Rais Yoweri Museveni kwa asilimia 61.7 ya kura halali ambazo zimekwisha hesabiwa hadi sasa. Mwenyekiti wa Tume ya…
Dkt. Samia: Haitajirudia kuzimwa kwa mtandao, atoa pole
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema uchaguzi wa mwaka 2025 ulikuwa na mafanikio makubwa ikiwamo kufikia asilimia 44 ya wabunge wanawake huku mchakato huo…
- Go to the previous page
- 1
- …
- 40
- 41
- 42
- 43
- 44
- 45
- 46
- …
- 144
- Go to the next page
