Dkt. Samia aeleza sababu kumteua Profesa Kabudi Ikulu
Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ametaja sababu za kumteua Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalumu), akisema ni kiongozi mzoefu na mwenye…
Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ametaja sababu za kumteua Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalumu), akisema ni kiongozi mzoefu na mwenye…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema amani, usalama na utulivu wa kisiasa ni miongoni mwa mambo yanayokuza uwekezaji nchini, huku akiwaonya wanaotaka kuiharibu. Dkt Samia…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema uamuzi wa Serikali kujenga Taasisi ya Sayansi za Bahari (UDSM-IMS) visiwani Zanzibar, umelenga kuchochea ajira na kuufikia uchumi jumuishi. Ametaka wananchi wanaoishi maeneo ya…
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema ataendelea kutumia ulimi wake kuzungumza ili kuzishawishi taasisi za fedha ndani na nje ya nchi, ziipatie fedha Serikali kwa ajili…
Waziri Mkuu wa Cote Dvoire, Robert Beugré Mambé na serikali yake amejiuzulu, baada ya uchaguzi wa wabunge uliofanyika Desemba 27 mwaka uliopita. Jana Jumatano, Januari 7, Rais Allasane Ouattara amekubali…
Na Mwandishi Wetu, Morogoro MAELFU ya wananchi mkoani Morogoro wamevutiwa na mpango wa huduma za msaada wa kisheria bila malipo na kuipongeza serikali huku wakisisitiza kuwa mpango huo utawasaidia wananchi…
Na Mwandishi Wetu Maelfu ya wafuasi wanayoiunga mkono serikali ya Venezuela wameandamana katikati mwa mji mkuu Caracas wakitaka kurejeshwa rais aliyeondolewa madarakani Nicolás Maduro na mke wake Cilia Flores. Maelfu…
RAIA wawili wa China, Weisi Wang (41) na Yao Licong, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Januari 7 wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ikiwemo kosa la utakatishaji…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha maslahi ikiwemo makazi na posho kwa askari wote nchini ili kuweza kuboresha mazingira…