Dkt Samia anavyoitangaza Tanzania duniani
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imepanda nafasi tisa katika orodha ya mataifa yanayotajwa kuwa vituo bora vya uwekezaji duniani, akiwahakikishia wawekezaji kuwepo kwa miundombinu bora ya kukuza biashara.…
