Tanzania yaibuka kidedea ujumbe kamati ya urithi wa Dunia Unesco
Tanzania imeshinda kiti cha Ujumbe wa Kamati ya Urithi wa Dunia ya Unesco (World Heritage Committee) katika uchaguzi uliofanyika Novemba 24,2025 jijini Paris, Ufaransa. Kamati ya Urithi wa Dunia ni…
