NMB yamwaga mamilioni maonyesho ya kitaifa NaneNane
Mwandishi Wetu, Dodoma BENKI ya NMB imekabidhi Sh milioni 100 kwa Wizara ya Kilimo ili kusaidia kwenye maandalizi ya maonyesho wakulima, wafugaji na wavuvi maarufu kama nanenane. Kiasi hicho ni…
Mwandishi Wetu, Dodoma BENKI ya NMB imekabidhi Sh milioni 100 kwa Wizara ya Kilimo ili kusaidia kwenye maandalizi ya maonyesho wakulima, wafugaji na wavuvi maarufu kama nanenane. Kiasi hicho ni…
Katika historia ya siasa za Tanzania, Julai 26, 2025 inabaki kuwa siku ya kipekee. Siku ambayo Chama cha Mapinduzi (CCM) kiliandika ukurasa mpya wa mageuzi kwa kufanya Mkutano Mkuu wa…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo terehe 25 Julai, 2025 ametangaza mafanikio makubwa katika…
Na Mwandishi Wetu, Singida Imeelezwa kuwa kukamilika kwa daraja la Masagi linalojengwa katika barabara ya Kibirigi-Masagi kutasaidia kuunganisha vijiji vya Kibirigi, Masagi na Tyeme katika Kata ya Mtoa, Wilaya ya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa ahadi ya donge nono ya fedha taslimu Shilingi Bilioni 1 iwapo timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars watafanikiwa…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Benki ya Equity kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanzisha mpango mahsusi wa kuimarisha sekta ya mifugo na ngozi nchini, kwa lengo la kuongeza…
Ndege ya abiria ya nchini Urusi iliyokuwa na watu takriban 50 imeanguka eneo la Amur, mashariki mwa nchi hiyo, huku watu wote waliokuwa ndani wakidhaniwa kupoteza maisha. Ndege hiyo aina…
Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia Tanzania kuanza maandalizi ya kuwa mwenyeji wa shindano urembo duniani (Miss World) mwaka 2027. Uamuzi huo unatajwa kuwa utafungua mafanikio lukuki kwa nchini ikiwemo katika…
Chama cha Wanasheria Wanawake (TAWLA) kinatarajia kuwanoa wanawake zaidi ya 1000 wilayani Magu kuhusu masuala mbalimbali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kujua haki zao katika umiliki wa ardhi…
Rais Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma, huku akieleza malengo makuu ya kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kisasa, jumuishi na…