Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Samia: Ukipiga kura katulie nyumbani kudumisha amani

Samia: Ukipiga kura katulie nyumbani kudumisha amani

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 18, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema atahakikisha amani na utulivu vinatawala katika msimu wote wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Katika kauli yake hiyo,…

Continue ReadingSamia: Ukipiga kura katulie nyumbani kudumisha amani
Read more about the article Haya hapa maajabu ya mchanga unaooshwa Tanga

Haya hapa maajabu ya mchanga unaooshwa Tanga

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 17, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Tanga Sekta ya madini nchini inaendelea kushuhudia mageuzi ya kuongeza thamani madini yakiwemo ya ujenzi kama mchanga na kufungua fursa nyingine mpya kwa wachimbaji wadogo wa mchanga…

Continue ReadingHaya hapa maajabu ya mchanga unaooshwa Tanga
Read more about the article Askofu Mtanzania Rugambwa afariki dunia

Askofu Mtanzania Rugambwa afariki dunia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 17, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Aliyekuwa Balozi wa Baba Mtakatifu nchi mbalimbali duniani Mtanzania Askofu Mkuu Novatus Rugambwa amefariki dunia usiku wa Septemba 16, 2025 huko Roma nchini Italia. Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa alizaliwa…

Continue ReadingAskofu Mtanzania Rugambwa afariki dunia
Read more about the article Madereva wamshukuru Rais Samia kupata ajira Qatar

Madereva wamshukuru Rais Samia kupata ajira Qatar

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 17, 2025
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

"Kwanza kabisa, tunapenda kumshukuru Mama yetu, Rais Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake kubwa za kuhakikisha vijana wa Kitanzania tunapata ajira nje ya nchi zinazostahiki. “Kupitia nafasi hizi, sisi vijana…

Continue ReadingMadereva wamshukuru Rais Samia kupata ajira Qatar
Read more about the article Masista wanne wafariki dunia Mwanza

Masista wanne wafariki dunia Mwanza

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 16, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Masista wanne wa Shirika la Wakarmeli Wamisionari wa Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu, wamefariki dunia baada ya gari lao kugongana uso kwa uso na lori mkoani Mwanza. Waliofariki ni pamoja…

Continue ReadingMasista wanne wafariki dunia Mwanza
Read more about the article RC Mtanda ashuhudia ushushaji wa vivuko majini, wananchi visiwani mkao wa kula

RC Mtanda ashuhudia ushushaji wa vivuko majini, wananchi visiwani mkao wa kula

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 16, 2025
  • Post category:Usafiri wa Majini

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,  Said Mtanda ameshuhudia tukio la ushushaji kwenye maji Kivuko cha MV Bukondo kilichogharimu bilioni 4.7 katika karakana ya Songoro Marine wilayani Ilemela ambayo inatarajiwa kwenda…

Continue ReadingRC Mtanda ashuhudia ushushaji wa vivuko majini, wananchi visiwani mkao wa kula
Read more about the article Samia na mkakati kuibadili Kigoma

Samia na mkakati kuibadili Kigoma

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 14, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema mpango wa Serikali itakayoongozwa naye katika miaka mitano ijayo, ni kuufanya Mkoa wa Kigoma kuwa wa kimkakati. Kutokana…

Continue ReadingSamia na mkakati kuibadili Kigoma
Read more about the article Samia: Tutaleta SGR Kigoma

Samia: Tutaleta SGR Kigoma

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 13, 2025
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake itakamilisha ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) mkoani Kigoma, ikipitia Wilaya ya Uvinza. Amesema reli hiyo…

Continue ReadingSamia: Tutaleta SGR Kigoma
Read more about the article Samia: Nitajenga barabara ya mzunguko  Tabora

Samia: Nitajenga barabara ya mzunguko  Tabora

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 12, 2025
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dkt Samia Suluhu Hassan, amewaambia wananchi wa Tabora kuwa atajenga barabara ya mzunguko yenye urefu wa kilomita 82 ili kupunguza msongamano mkoani humo. Ameeleza…

Continue ReadingSamia: Nitajenga barabara ya mzunguko  Tabora
Read more about the article Mramba: Matumizi yamefikia asilimia 20.3  kutoka asilimia 6.9 ya mwaka 2021

Mramba: Matumizi yamefikia asilimia 20.3  kutoka asilimia 6.9 ya mwaka 2021

  • Post author:Gabriel
  • Post published:September 12, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha.Felchesmi Mramba ameeleza kuwa matumizi ya nishati safi ya kupikia nchinj yameongezeka kutoka asilimia  6.9 mwaka 2021 hadi asilimia 20.3 huku lengo likiwa ni kufikia asilimia…

Continue ReadingMramba: Matumizi yamefikia asilimia 20.3  kutoka asilimia 6.9 ya mwaka 2021
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 58
  • 59
  • 60
  • 61
  • 62
  • 63
  • 64
  • …
  • 144
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website