Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article DC Lawuo aongoza kikao maandalizi ya mwenge Magu

DC Lawuo aongoza kikao maandalizi ya mwenge Magu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 10, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

MKUU wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Jubilate Win Lawuo ameongoza kikao cha maandalizi ya mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 kilichofanyika leo tarehe 10 Julai, 2025 katika ofisi za…

Continue ReadingDC Lawuo aongoza kikao maandalizi ya mwenge Magu
Read more about the article NMB, Save the Children wazindua Programu ya kuwakwamua vijana kiuchumi

NMB, Save the Children wazindua Programu ya kuwakwamua vijana kiuchumi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 9, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM SERIKALI imeipongeza Benki ya NMB kwa kuzindua Programu Maalum ya Ujuzi kwa Maendeleo ya Ujasiriamali na Ajira kwa Vijana (SEED), inayolenga kuwaongezea vijana wa Kitanzania…

Continue ReadingNMB, Save the Children wazindua Programu ya kuwakwamua vijana kiuchumi
Read more about the article Mabondia wa Tanzania watwaa makombe Comoro

Mabondia wa Tanzania watwaa makombe Comoro

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 9, 2025
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani

Mabondia Kassim Mbundwike na Mwanjango wameshinda mapambano yao katika michuano ya maadhimisho ya miaka 50 ya Sherehe za Uhuru wa Umoja wa Visiwa vya Comoro iliyoshirikisha mabondia toka Madagascar,Gabon,Tanzania na…

Continue ReadingMabondia wa Tanzania watwaa makombe Comoro
Read more about the article Hakuna kuvua viatu kwenye ukaguzi viwanja vya Marekani

Hakuna kuvua viatu kwenye ukaguzi viwanja vya Marekani

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 9, 2025
  • Post category:Usafiri wa Anga

Viwanja vya ndege vya Marekani havitahitaji tena abiria kuvua viatu vyao wakati wa ukaguzi wa usalama unaoendeshwa na Utawala wa Usalama wa Usafiri (TSA) - ukiondoa sera hiyo isiyopendwa na…

Continue ReadingHakuna kuvua viatu kwenye ukaguzi viwanja vya Marekani
Read more about the article Sudani kusini yaadhimisha miaka 14 ya uhuru

Sudani kusini yaadhimisha miaka 14 ya uhuru

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 9, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Sudan Kusini ilipata uhuru wake mwaka 2011 baada ya kura ya maoni ambapo watu wake walipiga kura kwa wingi kujitenga na Sudan. Uhuru ulikuwa kilele cha mapambano ya muda mrefu…

Continue ReadingSudani kusini yaadhimisha miaka 14 ya uhuru
Read more about the article Ruto acharuka, ‘wanaochoma biashara wapigwe risasi mguuni’
Rais William Ruto

Ruto acharuka, ‘wanaochoma biashara wapigwe risasi mguuni’

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 9, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais William Ruto ameahidi kuchukua hatua kali dhidi ya wanasiasa wanaowachochea wafuasi wao kushiriki katika vitendo vya vurugu, akisisitiza kuwa hali ya kuvunja sheria haitavumiliwa nchini Kenya. Pia amesema mtu…

Continue ReadingRuto acharuka, ‘wanaochoma biashara wapigwe risasi mguuni’
Read more about the article Norland  na mkakati wa kuenea nchi nzima

Norland  na mkakati wa kuenea nchi nzima

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 9, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katika hali inayoonesha bidhaa zake kukubalika na  watanzania wengi  kampuni ya Norland Tanzania ambayo makao makuu yake yapo nchini Chna, imejipanga kujitanua na kuhakikisha…

Continue ReadingNorland  na mkakati wa kuenea nchi nzima
Read more about the article NMB yapewa tuzo kwa uwasilishaji michango ya wafanyakazi

NMB yapewa tuzo kwa uwasilishaji michango ya wafanyakazi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 9, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Benki ya NMB imeendelea kuthibitisha uongozi wake katika masuala ya rasilimali watu baada ya kutunukiwa tuzo maalum na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF)…

Continue ReadingNMB yapewa tuzo kwa uwasilishaji michango ya wafanyakazi
Read more about the article Haya hapa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita 2025

Haya hapa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita 2025

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 7, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika Mei 5 hadi 26, 2025. Matokeo hayo yametangazwa leo Jumatatu, Julai 7, 2025 visiwani Zanzibar na…

Continue ReadingHaya hapa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita 2025
Read more about the article NMB yabeba huduma za benki hadi kwa mteja popote alipo

NMB yabeba huduma za benki hadi kwa mteja popote alipo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:July 7, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Benki ya NMB imesema itaendelea kuwekeza kwenye mifumo ya kidijitali ili kuongeza upatikanaji wa huduma za kifedha kwa Watanzania, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha ujumuishaji wa kifedha na…

Continue ReadingNMB yabeba huduma za benki hadi kwa mteja popote alipo
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 61
  • 62
  • 63
  • 64
  • 65
  • 66
  • 67
  • …
  • 135
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website