DAS Kinondoni aipongeza MONTI International kwa kuibua, kulea vipaji vya watoto
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katibu tawala wilaya ya Kinondoni - DAS, Warda Abdallah ameipongeza Shule ya Kimataifa ya Monti kwa kuibua na kulea vipaji vya watoto ili kuendana…
