Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Rekodi za Mapato, Gawio la Wanahisa NMB vyatikisa Kongamano Z’bar

Rekodi za Mapato, Gawio la Wanahisa NMB vyatikisa Kongamano Z’bar

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 17, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

NA MWANDISHI WETU, PEMBA BENKI ya NMB imewahakikishia wawekezaji wadogo, wa kati na wakubwa walioshiriki Kongamano la Uwekezaji Zanzibar lililoratibiwa na Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA), kuwa iko imara kifedha…

Continue ReadingRekodi za Mapato, Gawio la Wanahisa NMB vyatikisa Kongamano Z’bar
Read more about the article Kapinga: Bei ya kujaza gesi ya kupikia ni himilivu

Kapinga: Bei ya kujaza gesi ya kupikia ni himilivu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 16, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema gharama ya kujaza gesi kwenye mitungi (LPG) ni himilivu ikiwa ni jitihada zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali ili kuwezesha matumizi ya Nishati Safi ya…

Continue ReadingKapinga: Bei ya kujaza gesi ya kupikia ni himilivu
Read more about the article Trump azuia mpango wa Israel kumuua kiongozi mkuu Iran

Trump azuia mpango wa Israel kumuua kiongozi mkuu Iran

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 16, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais wa Marekani, Donald Trump amepinga mpango wa Israel wa kumuua kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei. Ofisa mkuu wa Marekani ameliambia shirika la habari la AFP kuwa "Tuligundua…

Continue ReadingTrump azuia mpango wa Israel kumuua kiongozi mkuu Iran
Read more about the article Mnyeti aipongeza NMB kuunga mkono wafugaji nchini

Mnyeti aipongeza NMB kuunga mkono wafugaji nchini

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 16, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Pwani SERIKALI imesisitiza kuwa imejipanga kuhakikisha kuwa wafugaji nchini wanakuwa na uwezo wa kufanya ufugaji wa kisasa wenye tija zaidi na kuachana na mbinu duni kwa kushirikiana…

Continue ReadingMnyeti aipongeza NMB kuunga mkono wafugaji nchini
Read more about the article Kamishna wa umeme, nishati jadidifu akagua miradi ya umeme Dar

Kamishna wa umeme, nishati jadidifu akagua miradi ya umeme Dar

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 14, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu kutoka Wizara ya Nishati, Mhandisi Innocent Luoga, tarehe 12 Juni 2025, amefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi…

Continue ReadingKamishna wa umeme, nishati jadidifu akagua miradi ya umeme Dar
Read more about the article Mastaa Barcelona, AC Milan wamiminika Tz kujivinjari

Mastaa Barcelona, AC Milan wamiminika Tz kujivinjari

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 13, 2025
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani

Msimu mashuhuri wa utalii nchini umeanza kwa kasi na baada ya nyota wa zamani wa Man United na AC Milan @iamzlatanibrahimovic (wafuasi milioni 63 IG pekee) kutua nchini kutalii nyota…

Continue ReadingMastaa Barcelona, AC Milan wamiminika Tz kujivinjari
Read more about the article PIKA SMART yazinduliwa kuhamasisha matumizi nishati safi ya kupikia

PIKA SMART yazinduliwa kuhamasisha matumizi nishati safi ya kupikia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 13, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Kamishina wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga amezindua kampeni ya kitaifa ya kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ya umeme inayokwenda na kaulimbiu ya PIKA SMART. Mha.…

Continue ReadingPIKA SMART yazinduliwa kuhamasisha matumizi nishati safi ya kupikia
Read more about the article Samia amteua Masaju kumrithi Profesa Juma
George Mcheche Masaju

Samia amteua Masaju kumrithi Profesa Juma

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 13, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Masaju anachukua nafasi ya Prof. Ibrahim Hamis Juma, ambaye amestaafu…

Continue ReadingSamia amteua Masaju kumrithi Profesa Juma
Read more about the article Serikali yawasilisha bajeti ya Sh tril. 56

Serikali yawasilisha bajeti ya Sh tril. 56

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 12, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, amewasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali ya shilingi trilioni 56.49 kwa mwaka 2025/26. “Makadirio ya matumizi ya Serikali ya shilingi trilioni 56.49…

Continue ReadingSerikali yawasilisha bajeti ya Sh tril. 56
Read more about the article Ajali ya ndege yaua zaidi ya watu 200 India

Ajali ya ndege yaua zaidi ya watu 200 India

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 12, 2025
  • Post category:Usafiri wa Anga

Zaidi ya watu 200 wamefariki baada ya ndege ya Air India iliyokuwa ikielekea London, ikiwa na abiria 242, kuanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka mji wa Ahmedabad magharibi mwa…

Continue ReadingAjali ya ndege yaua zaidi ya watu 200 India
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 66
  • 67
  • 68
  • 69
  • 70
  • 71
  • 72
  • …
  • 135
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website